Level up your skills,
Level up your life.
Unlock your potential with expert-led courses in various subjects, all taught in Kiswahili. Start learning now.
Unlock your potential with expert-led courses in various subjects, all taught in Kiswahili. Start learning now.
Embark on a journey of discovery and growth with Somataaluma. Our diverse range of courses, taught entirely in Kiswahili, are designed to equip you with valuable skills and knowledge to elevate your life and career. Explore our offerings and find the perfect path to unlock your full potential.
Expert Guidance for Lifelong Learning
If you're a busy parent or a professional and have no time for courses during business hours, you can find an online program that works around your schedule. Is not that awesome?
Get your certificate in the blink of an eye and start writing your success story now.
Kozi nyingine ni bure, lakini nyingine zinahitaji malipo kidogo ili kufanikisha huduma bora na uendeshaji. Taarifa za malipo zitatolewa kwenye page ya kozi husika.
Kozi zetu zinapatikana kwa lugha ya Kiswahili.
Tunapokea malipo kupitia njia rahisi kama Mix by Yas, Airtel Money (TZ) na malipo ya benki (Mastercard & Visa Card).
Ndio, kozi za kulipia hutoa cheti baada ya kumaliza lesson zote.
Kozi za bure hazina cheti baada ya kumaliza kusoma lesson zote.
Hapana. Kozi zetu nyingi zimeandaliwa kwa wanaoanza, na hazihitaji ujuzi wa awali. Tunaanza hatua kwa hatua.
“Sikuwahi kufikiri ningeweza kuelewa Kali Linux na hacking bila kutumia Kiingereza. Lakini Somataaluma.com imethibitisha kuwa inawezekana – kila kitu kinaelezwa kwa Kiswahili fasaha na kitaalamu.”
Zanzibar
“Kozi ya MySQL Mastery imeboresha sana uwezo wangu wa kuunda na kuendesha database kwenye miradi ya kibiashara. Nimepata cheti baada ya kufaulu mtihani wa mwisho – somo limeeleweka sana!”
Mwanza
“Somataaluma imenipa fursa ya kujifunza Cybersecurity na MySQL kwa lugha yangu. Kozi ya Free Kali Linux, Cybersecurity and Ethical Hacking Course iliniandaa vizuri kwa kazi yangu ya IT.”
Mbeya
“Kozi ya MySQL Mastery: From Fundamentals to Advanced Queries ni bora sana! Nilianza bila ujuzi wowote wa database, sasa naweza kuandika queries ngumu na kuelewa jinsi database zinavyofanya kazi.”
Zanzibar
“Kupitia Somataaluma.com nilijifunza Ethical Hacking kwa kutumia Kali Linux bila kulipa hata senti! Kozi ya Free Kali Linux, Cybersecurity and Ethical Hacking Course imenipa ujuzi wa kujilinda dhidi ya mashambulizi ya kimtandao.”
Dar-Es-Salaam