Je, unataka kujifunza jinsi wataalamu wa Cyber Security wanavyogundua na kutumia udhaifu (vulnerabilities) kwenye website — na muhimu zaidi, jinsi ya kulinda mifumo dhidi ya mashambulizi hayo?
Advanced Web Hacking & Penetration Testing Masterclass ni kozi ya kiwango cha juu iliyoundwa kwa mfumo wa 100% practical (hands-on), ambapo utajifunza kwa kufanya majaribio halisi (real-world labs) kama mtaalamu wa penetration testing.
Tofauti na kozi nyingi zinazofundisha theory, hii kozi inakupeleka moja kwa moja kwenye vitendo — ukifanya exploitation ya vulnerabilities halisi katika mazingira salama ya mafunzo.
Ndani ya Kozi Hii Utajifunza:
Baada ya Kozi Hii Utaweza:
Kwa Nini Uchague Kozi Hii?
⚠️ Important Note
Kozi hii inalenga Ethical Hacking (Legal Use Only) — utajifunza mbinu za hacking kwa lengo la kulinda mifumo na kufanya penetration testing halali, si kwa matumizi mabaya.
VirtualBox ni programu ya virtualization inayokuwezesha kuendesha mfumo mwingine wa uendeshaji ndani ya Windows yako. Katika video hii ya Somataaluma, utajifunza install VirtualBox on Windows hatua kwa hatua ili uweze kuunda hacking lab salama na halali kwa majaribio ya penetration testing, ethical hacking, na cybersecurity nyumbani kwako.
Metasploitable ni virtual machine iliyotengenezwa kuwa na udhaifu mzito ili ujifunze namna mbali mbali za kuhack ikiwemo kuhack database, web applications, na server-side attacks kwa usalama katika maabara yako (hacking lab). Katika lesson hii, utajifunza step by step guide ya jinsi ya kuinstall Metasploitable on VirtualBox
Ili kufaidika kikamilifu na kozi hii:
Vifaa:
Maarifa ya Msingi:
Kozi hii imeundwa kwa watu wanaotaka kujifunza web security kwa kiwango cha kitaalamu:
Inafaa kwa:
Haifai kwa: