Skip to main content

SomaTaaluma

0
0 reviews
New

Tailwind CSS Masterclass kwa Kiswahili | Web Design & Development

Tailwind CSS Masterclass kwa Kiswahili ni kozi ya vitendo inayokufundisha kutumia Tailwind CSS kujenga websites za kisasa, responsive na professional. ... Show more
  • Description
  • Curriculum
  • Reviews

Katika Tailwind CSS Masterclass kwa Kiswahili | Web Design & Development, utajifunza Tailwind CSS kwa vitendo kutoka misingi hadi kutumia concepts mbalimbali kujenga interfaces za kisasa na responsive.

Kozi inaanza kwa kuelewa namna Tailwind CSS inavyofanya kazi, kisha utaendelea kujifunza responsive design, colors, typography, spacing, sizing, Flexbox, Grid, layouts, borders, effects, filters, transitions, animations na dark mode.

Pia utajifunza misingi ya Design System na namna ya kutumia Tailwind CSS kwa njia inayosaidia kujenga interfaces zilizo consistent, clean na professional.

Mwisho wa kozi, utatumia maarifa yote uliyopata kujenga project kamili kwa Tailwind CSS, kutoka mwanzo hadi mwisho.

Mafunzo yote yanafundishwa kwa Kiswahili na yanaelekezwa kwenye vitendo, ili uweze kutumia Tailwind CSS katika miradi yako halisi ya web development.

Tailwind CSS
Video preview
Share
Course details
Duration 2 H & 15 min
Lectures 14
Level Beginner to Advanced
Certificate o f Completion Available
Course requirements

Kabla ya kuanza kozi, ni vizuri uwe na:

  • Msingi wa HTML — unatakiwa kujua HTML elements, attributes, forms, links, images na basic page structure.
  • Msingi wa CSS — uelewe concepts kama selectors, properties, classes, colors, spacing na basic layout.
  • Kompyuta yenye Windows, macOS au Linux.
  • Web browser kama Google Chrome, Microsoft Edge au Firefox.
  • Code editor kama Visual Studio Code.
  • Uwe tayari kufanya mazoezi na kuandika code wakati wa kujifunza.

JavaScript si prerequisite ya kozi hii, ingawa kuwa na basic knowledge ya JavaScript kunaweza kukusaidia zaidi unapokwenda kwenye frontend development.

Intended audience

Kozi hii inafaa kwa:

  • Web Developers wanaotaka kujifunza Tailwind CSS.
  • Frontend Developers wanaotaka kuboresha uwezo wao wa kutengeneza UI.
  • Web Designers wanaotaka kujenga responsive interfaces kwa kutumia code.
  • Wanafunzi wa IT na Computer Science wanaojifunza web development.
  • Freelancers wanaotengeneza websites na web applications.
  • Waanzilishi wa web development wenye msingi wa HTML na CSS.
  • Developer yeyote anayetaka kujifunza Tailwind CSS kwa Kiswahili kwa njia ya vitendo.
error: Protected