Jifunze Laravel API Development kwa Kiswahili kwa vitendo kupitia kozi hii ya Laravel Sanctum API Masterclass kutoka Somataaluma.
Katika kozi hii utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia Laravel na PHP kutengeneza REST APIs kwa ajili ya websites, mobile applications na mifumo mbalimbali. Tutaanza na misingi ya Laravel, kuandaa Laravel API project na kuelewa file structure ya Laravel, kisha tutaendelea na Laravel Sanctum, CRUD operations na API authentication.
Kozi hii inafundishwa kwa Kiswahili, kwa mtindo wa vitendo unaokuwezesha kufuatilia hatua za development na kuelewa kwa nini kila configuration na code inatumika.
Utajifunza jinsi ya:
Kozi hii ni sehemu ya mafunzo ya PHP, Laravel na Web & System Development kwa Kiswahili yanayotolewa na Somataaluma, ikiwa na lengo la kuwasaidia developers na wanafunzi wa Kiswahili kujenga ujuzi wa kisasa wa software development kwa vitendo.
Ili kufaidika zaidi na Laravel Sanctum API Masterclass kwa Kiswahili, inashauriwa kuwa na:
Muhimu: Huhitaji kuwa expert wa Laravel kabla ya kuanza. Kozi inaanza na msingi wa Laravel na inaendelea hatua kwa hatua hadi kwenye Laravel Sanctum API authentication.
Kozi hii imeandaliwa kwa:
Kozi hii inafaa zaidi kwa mtu anayependa kujifunza kwa vitendo, kuandika code mwenyewe na kujenga msingi imara wa Laravel REST API development.
Drag file here or click the button.
Drag file here or click the button.
Drag file here or click the button.
Drag file here or click the button.
Drag file here or click the button.