Python For Beginners ni kozi rasmi ya kujifunza Python kutoka sifuri, iliyoundwa kwa wanafunzi wanaoanza kutengeneza programu. Kozi hii itakufundisha hatua kwa hatua namna ya kutumia Python Programming katika mazingira ya vitendo, kuanzia ufungaji wa Python, kuandika programu ya kwanza, kuelewa data types, variables, lists, tuples, hadi kutumia operators muhimu kwenye programu.
Kozi hii inafaa kwa wanafunzi wa IT, wanaotaka kuanza software development, wanaotamani kuingia kwenye coding, au mtu yeyote anayehitaji msingi imara wa programming kwa Python.
Yaliyomo kwenye Kozi (Curriculum):
Utangulizi wa Python
Kufunga Python & kutengeneza mazingira ya development
Kuandika program yako ya kwanza
Data Types & Variables
User Input
Lists na Tuples
Arithmetic, Comparison, Logical & Assignment Operators
Kozi ni bure kabisa, yenye maelezo rahisi na mifano ya vitendo ili kukuongezea ujuzi wa IT haraka.
👉 Bonyeza Enroll Now ujifunze Python kwa hatua rahisi.
👉 Fursa bora kwa wanafunzi, walimu, wafanyakazi na wanaotamani kuingia kwenye teknolojia.
👉 Somataaluma – Jifunze Kiganjani, Popote, Wakati Wowote.
Kompyuta (Windows, Mac au Linux)
Intaneti ya kawaida
Code Editor
Msingi wa English si lazima, kozi yote ni Kiswahili
Utayari wa kujifunza
Wanafunzi wa IT, CS, BIT, BCs, BSc, CCT, DIT, DCS, BITA, DITA, etc
Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu
Freelancers wanaotaka kuingia kwenye web development, automation na data
Wafanyakazi wa ofisi wanaotaka kuongeza ujuzi wa kiufundi
Wanafunzi wa vyuo vya kati (VETA, Colleges)
Kila mtu anayependa kujifunza programu kutoka mwanzo
Wanaotaka kubadilisha taaluma (career switch)