PHP PDO Complete Course: Kutoka Beginner hadi Advanced kwa Kiswahili ni kozi maalumu ya SomaTaaluma iliyoundwa kwa wanafunzi wote wanaotaka kujifunza kwa undani jinsi ya kufanya kazi na PHP + MySQL kwa kutumia PDO (PHP Data Objects) katika kiwango cha kitaalamu.
Kozi hii inafundishwa kwa Kiswahili, hatua kwa hatua, kwa kutumia mifano ya kweli inayotumiwa na Full Stack Developers duniani kote.
Katika kozi hii utajifunza:
✅ Kuunganisha PHP na MySQL kwa kutumia PDO
✅ Kutengeneza Full CRUD (Create, Read, Update, Delete) kwa njia sahihi na salama
✅ Prepared Statements & Parameter Binding — mbinu kuu za kuzuia SQL Injection
✅ Kushughulikia errors na exceptions kupitia PDOException
✅ Kujenga miradi halisi ya database inayotumia PDO
✅ Best Practices na coding standards za modern PHP development
Kozi hii ni bora kwa:
✔️ Wanafunzi wanaotaka kufikia kiwango cha pro katika PHP
✔️ Watengenezaji wanaotaka kuboresha usalama wa web applications zao
✔️ Wanaotaka kuandika database queries kwa usalama na ufanisi
✔️ Wote wanaofuatilia kozi ya PHP Masterclass: The Complete Developer Course na wanataka kuspecialize kwenye PDO
Utajifunza kutoka ngazi ya Beginner hadi Advanced, bila kuruka hatua, na utajenga uelewa wa kina wa jinsi PDO inavyotumika kwenye applications za kisasa.
Jiunge sasa na ujifunze database programming kwa usalama, kwa ubora na kwa Kiswahili — kupitia SomaTaaluma.
Uelewa wa Msingi wa PHP:
Lazima ujue angalau jinsi ya kuandika functions rahisi, ku-connect na database, na kutumia echo au print katika PHP.
Ujuzi wa HTML wa Kawaida:
XAMPP, Laragon, au Local Server:
Kompyuta yako inapaswa kuwa na mazingira ya development kama XAMPP, Laragon, au MAMP ili kuendesha project ya PHP.
Text Editor kama VS Code, Sublime, au Notepad++:
Kozi inatumia editor yoyote ya kawaida ya kuandika na kuhariri PHP code.
Browser (Google Chrome, Firefox, nk):
MySQL Database Basics: