SomaTaaluma

0
0 reviews

PHP for Beginners: Jifunze Msingi wa PHP Hatua kwa Hatua kwa Kiswahili

Jifunze PHP kutoka mwanzo kwa Kiswahili. Kozi hii inafundisha syntax, variables, operators, arrays, control statements, loops, na misingi yote unayohitaji ... Show more
  • Description
  • Curriculum
  • Reviews

PHP for Beginners: Jifunze Msingi wa PHP Hatua kwa Hatua kwa Kiswahili ni kozi maalumu ya SomaTaaluma iliyoundwa kwa wanafunzi wanaoanza safari yao ya web development. Kozi hii inakufundisha misingi yote ya PHP kwa njia rahisi, yenye mifano halisi na mazoezi ya kutosha ili uweze kuelewa na kutumia PHP kwenye miradi yako ya kwanza.

Kozi hii inafundishwa kwa Kiswahili, hatua kwa hatua, ili kumsaidia beginner yeyote kuwa na msingi imara wa kuwa PHP Developer.

✅ Kozi inashughulikia mada zifuatazo:


01: PHP Basics

✅ Course Introduction
✅ Syntax
✅ Kuchapisha maandishi kwenye browser
✅ Variables
✅ Data types


02: Operators

✅ Arithmetic Operators
✅ Comparison Operators
✅ Identical/Not Identical Operators
✅ Logical Operators

Kozi hii ni bora kwa:

✔️ Beginners wanaotaka kuanza na PHP kwa mara ya kwanza
✔️ Wanafunzi wa web development wanaotaka msingi imara
✔️ Watengeneza systems wanaohitaji kuelewa logic ya PHP kabla ya frameworks
✔️ Wanaotaka kuendelea na kozi za PHP PDO, MySQLi, OOP, na Laravel

Kozi hii itakupa ujuzi wa msingi ili uweze kuandika code safi, kuelewa logic ya PHP, na kuanza kujenga web applications rahisi.

somataaluma.com php for beginners  - php kwa kiswahili-01-01-01
Share
Course details
Lectures 9
Level Beginner to Intermediate
Course requirements
  1. Ujuzi wa HTML wa Kawaida:
    Ufahamu mdogo wa HTML utasaidia katika kupanga muundo wa maudhui kwenye PDF (mfano: paragraph, table, image alignment).
  2. XAMPP, Laragon, au Local Server:
    Kompyuta yako inapaswa kuwa na mazingira ya development kama XAMPP, Laragon, au MAMP ili kuendesha project ya PHP.

  3. Text Editor kama VS Code, Sublime, au Notepad++:
    Kozi inatumia editor yoyote ya kawaida ya kuandika na kuhariri PHP code.

  4. Browser (Google Chrome, Firefox, nk):
    Kujaribu matokeo ya PDF kupitia browser yako ya kawaida.

error: Protected