SomaTaaluma

0
0 reviews
New

HTML Masterclass ya Vitendo: Jenga Website Kamili ya Portfolio kwa Lesson Moja

Jifunze HTML na CSS kwa vitendo, katika lesson moja kamili ya project-based training, na ujenge website yako ya portfolio mojamoja ... Show more
  • Description
  • Curriculum
  • Reviews

Unataka kujifunza HTML na CSS kwa vitendo, kwa njia ambayo inakufundisha unavyoweza kutumia skills zako moja kwa moja?

Kozi hii ni lesson moja kamili ya vitendo ambapo utajifunza kwa kufanya, ukijenga website yako ya portfolio kutoka mwanzo hadi mwisho. Kila kitu unachofanya kina maana, na unajifunza kwa kufanya, siyo kusoma theory tupu.

Kwa lesson hii moja tu, utajifunza:

✔ Kuunda website yenye muonekano wa kisasa
✔ Kutengeneza header, navigation, sections, tables, lists, forms, na footer
✔ Kuandika code safi, structured, na ya kitaalamu
✔ Styling ya website kwa CSS ili ionekane professional
✔ Mbinu za msingi za SEO ili website yako ionekane kwenye Google
✔ Kuwa tayari kutumia website yako kama portfolio ya kitaalamu

Lesson hii ni 100% kwa Kiswahili, kila step inafafanuliwa kwa urahisi, na kila kitu unachofanya kina maana.

Jiunge sasa kwenye HTML Masterclass ya Vitendo na ujenge website yako ya portfolio leo kwa lesson moja tu.

Faida: Utapata skill inayoweza kuleta kipato, kujenga portfolio, au kuanza freelancing mara moja.

somataaluma.com - html masterclass kwa kiswahili
Share
Course details
Lectures 2
Level Beginner to Intermediate
Course requirements

✔ Laptop au desktop
✔ Text editor (VS Code inapendekezwa)
✔ Basic computer skills
✔ Internet (kwa resources na reference)
✔ Nia ya kufanya practice mara moja

Intended audience
  • Watu wanaotaka kuanza web development kutoka mwanzo
  • Wanaopenda kujifunza kwa vitendo na kuona matokeo haraka
  • Graphic designers wanaotaka kuunda websites zao wenyewe
  • Wanaotaka skills zinazoweza kuleta kipato (freelancing, projects binafsi)
  • Yeyote anayetaka kujifunza HTML na CSS kwa Kiswahili
error: Protected