Unataka kujifunza HTML na CSS kwa vitendo, kwa njia ambayo inakufundisha unavyoweza kutumia skills zako moja kwa moja?
Kozi hii ni lesson moja kamili ya vitendo ambapo utajifunza kwa kufanya, ukijenga website yako ya portfolio kutoka mwanzo hadi mwisho. Kila kitu unachofanya kina maana, na unajifunza kwa kufanya, siyo kusoma theory tupu.
Kwa lesson hii moja tu, utajifunza:
✔ Kuunda website yenye muonekano wa kisasa
✔ Kutengeneza header, navigation, sections, tables, lists, forms, na footer
✔ Kuandika code safi, structured, na ya kitaalamu
✔ Styling ya website kwa CSS ili ionekane professional
✔ Mbinu za msingi za SEO ili website yako ionekane kwenye Google
✔ Kuwa tayari kutumia website yako kama portfolio ya kitaalamu
Lesson hii ni 100% kwa Kiswahili, kila step inafafanuliwa kwa urahisi, na kila kitu unachofanya kina maana.
Jiunge sasa kwenye HTML Masterclass ya Vitendo na ujenge website yako ya portfolio leo kwa lesson moja tu.
Faida: Utapata skill inayoweza kuleta kipato, kujenga portfolio, au kuanza freelancing mara moja.
✔ Laptop au desktop
✔ Text editor (VS Code inapendekezwa)
✔ Basic computer skills
✔ Internet (kwa resources na reference)
✔ Nia ya kufanya practice mara moja