SomaTaaluma

0
0 reviews

Working With PHP MySQLi: Kutoka Beginner hadi Advanced kwa Kiswahili

Jifunze PHP MySQLi kwa Kiswahili na ujenge Full CRUD, prepared statements na web applications salama. Kozi hii ina kufundisha hatua ... Show more
  • Description
  • Curriculum
  • Reviews

Working With PHP MySQLi: Kutoka Beginner hadi Advanced kwa Kiswahili ni kozi maalumu kutoka SomaTaaluma inayokufundisha jinsi ya kufanya kazi na PHP + MySQL kwa kutumia MySQLi Extension kwa usahihi na kiwango cha kitaalamu.

Kozi hii inafundishwa kwa Kiswahili, kwa mfano wa hatua kwa hatua, ili kukusaidia kuelewa:

✅ Jinsi ya kuunganisha PHP na MySQL kwa kutumia MySQLi
✅ Kutengeneza Full CRUD (Create, Read, Update, Delete) kwa mbinu za kisasa
✅ Kuzuia makosa ya database na kushughulikia errors
✅ Kuweka usalama kwenye queries kwa kutumia prepared statements
✅ Kujenga projects halisi zinazotumia MySQLi
✅ Best practices za web development kwa PHP Developers

Kozi hii ni muhimu kwa wanafunzi wanaotaka:

✔️ Kuanza safari ya kuwa PHP Full Stack Developer
✔️ Kujenga web systems zinazotumia MySQL kwa ufanisi
✔️ Kupata msingi mzuri kabla ya kuhamia PDO au frameworks kama Laravel

Hii ndiyo kozi ya MySQLi ambayo kila beginner na intermediate developer anahitaji ili kuandika applications salama, bora na za kisasa.

somataaluma.com working with mysqli - php kwa kiswahili-01
Share
Course details
Lectures 6
Level Beginner to Advanced
Course requirements
  1. Uelewa wa Msingi wa PHP:
    Lazima ujue angalau jinsi ya kuandika functions rahisi, ku-connect na database, na kutumia echo au print katika PHP.

  2. Ujuzi wa HTML wa Kawaida:
    Ufahamu mdogo wa HTML utasaidia katika kupanga muundo wa maudhui kwenye PDF (mfano: paragraph, table, image alignment).

  3. XAMPP, Laragon, au Local Server:
    Kompyuta yako inapaswa kuwa na mazingira ya development kama XAMPP, Laragon, au MAMP ili kuendesha project ya PHP.

  4. Text Editor kama VS Code, Sublime, au Notepad++:
    Kozi inatumia editor yoyote ya kawaida ya kuandika na kuhariri PHP code.
  5. Browser (Google Chrome, Firefox, nk):
    Kujaribu matokeo ya PDF kupitia browser yako ya kawaida.

  6. MySQL Database Basics:

error: Protected